
0 Uanachama
1 Sifa za uanachama
(a) Wahitimu wa sayansi ya jamii
(b) Watu wote wanaokubaliana na malengo ya taasisi
(c) Taasisi zinazotoa mafunzo ya sayansi ya jamii
.2 Aina za uanachama
- Mtu mmoja mmoja
- Kikundi watu au
- Taasisi zinazotoa mafunzo ya sayansi ya jamii
3 Jinsi ya kuwa mwanachama
- Mwanachama atajaza fomu ya maombi yakuwa mwanachama nakuambatanisha ada ya maombi ya uanachama.
- Muombaji akikubaliwa kujiunga baada yakutimiza masharti, atalipa kiingilio cha uanachama ambacho hakitarejeshwa.
4 Wajibu wa mwanachama
- Kulipa ada na michango
- Kushiriki katika shughuli mbalimbali za taasisi katika azima yakutimiza malengo yake.
5 Haki za mwanachama
- Kushiriki katika shughuli zote za taasisi.
- Kushiriki katika vikao vyote vinavyomhusu
- Kutobaguliwa kwa namna yoyote ile
- Haki yakutoa maoni na kusikilizwa
- Haki ya kuchagua/kuchaguliwa mjumbe/kiongozi
6 Ukomo wa uanachama
- uanachama utakoma endapo:
- Mwanachama atajitoa mwenyewe
- Atashindwa kutimiza masharti ya uanachama
- Kwa utovu wa nidhamu
- Atathibitika kuwa na Maradhi ya akili
- Ataenda kinyume cha katiba ya taasisi
- Mwanachama atafariki
- Atatoa, kushawishi au kupokea rushwa ya aina yeyote ile.
- Faida za uanachama
Nafasi za kuomba na mazoezi ujuzi wao wa kijamii
• Fursa kwa umma kusema mbele ya chama kupangwa vikao
• Nafasi za kuchapisha katika jarida la inayoendeshwa na chama
• Support katika kuendeleza na kuendeleza elimu kijamii
• Kushirikiana na kitaifa, kikanda, na kimataifa wanasosholojia na vyama vya kijamii
• fursa ya kusaidia wanasosholojia baadaye
• Kazi na ajira upangaji
• Nafasi za kutetea nidhamu kijamii
• Fursa kwa ajili ya utetezi pamoja na ushawishi kwa uundaji wa sera
• Scholarship
• inayozungumzia
BOFYA HAPA KUPAKUA (Download) FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA >>>>>>>